Sunday, July 1, 2012

Frank Brown's Birthday Party at Rudy's Farm on Friday 29th June 2012

 Maakuli yaliyoandaliwa kwa ajili ya shughuli hiyo pichani juu na chini... on special arrangements tunaweza kumwandalia yoyote.

 Keki aliyoandaliwa Frank na Mkewe
 Wadau wakijiandaa kushuhudia ukataji keki na hatimaye kuila!


 Frank akimlisha mkewe na chini akilishwa na mkewe...

 wadau mbali mbali walikuwepo, hata Kichwangumu "the comrade" alikuwepo na The Don picha ya chini...